Pages

Wednesday, July 17, 2013

MUIGIZAJI WA FILAMU MOHAMED MWIKONGI(FRANK) ATISHIWA KUUWAWA.

Actor maarufu na mkongwe katika tasnia ya filamu Swahiliwood Mohamedi Mwikongi(Frank) amedai kutishiwa kuuwawa bila kujua sababu na mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Jonathan Lyradu. Frank alisema mtu huyo alianza kumtumia ujumbe mfupi katika simu(sms) kwa kumtishia kumtoa uhai wake tangu mwezi uliopita na wala hawafahamiani. Muigizaji huyo ambaye ana filamu nyingi sokoni tayari ameripoti tukio hilo katika kituo kidogo cha polisi Tabata na kufungua jalada TBK/RB/2750/13. Akizungumza na .globalpublishers Frank alisema "Mara ya kwanza nilijua amekosea namba, nikamuuliza anamuhitaji nani, lakini akanitumia meseji nyingine na kunitaja jina langu huku akiendelea kunitisha na kunimwagia mvua ya matusi kwa kweli nilimshangaa kwani simjui mtu huyo".


No comments:

Post a Comment