Pages

Monday, July 15, 2013

MALARIA YAMTIBULIA SWAUMU MUIGIZAJI AMANDA POSHY.

Actress maarufu wa Swahili movies Amanda Poshy anaumwa malaria ambayo yamemtibulia harakati zake za kufunga katika mwezi huu mtukufu. Muigizaji huyo pia alisema kuwa vidonda vya tumbo pia vimesababisha hali hiyo baada ya kuanza kufunga na hali kubadilika. Amanda aliyejaaliwa kipaji cha kuigiza aliweka picha facebook akiwa hospitalini. Pia amewataka mashabiki wake wamuombee apone haraka ili aendelee na mfungo wa Ramadhani na shughuli zake za kila siku kama kawaida. Get well soon Amanda.......

                                 Akiwa hospitalini


No comments:

Post a Comment