Pages

Thursday, July 25, 2013

IRENE UWOYA AMPA UJIKO JOHARI.

Irene Uwoya amemsifia muigizaji mwenzake maarufu Blandina Chagula(Johari) kuwa ni mwanamke wa shoka na mchapakazi sana hivyo hata wabaya wake waongee vipi lakini kilichopangwa na mungu hakiwezi kutenguliwa na mtu, ujumbe huo pia ni wa kuzidi kumpa moyo Johari "Wewe nimwanamke wapekee…mchapakazi sana…hatawaongeee vipi kaza moyo…one thing u have to know if God says yes no body can say no…so don give r f*ck" aliandika Uwoya ambaye amecheza filamu nyingi na kumpa umaarufu alionao leo kutoka kampuni ya Rj inayomilikiwa na Johari na Vicent Kigosi Ray. Baadhi ya filamu hizo ni Sobbing Sound, Offside, My Dreams, Oprah na nyinginezo.

                                                                  Johari
                                   Irene Uwoya
Like our facebook page Swahili World Planet for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, fashions plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

 

No comments:

Post a Comment