Pages

Thursday, July 11, 2013

IRENE UWOYA AFUNGUKA BAADA YA DIAMOND KUTAJA SABABU ZA KUTEMBEA NAE.

“Kuna saa najiuliza kwanini ukimwamin mtu ndio anageuka...kwanini ukiwa muwaz watu wanakuchukulia vibaya? Leo nimeumia sanaaa kuliko siku zote...sijaamini mtu niliyemwamini kumuona kama rafiki yangu anaweza kuongea shit kuhusu mim...au najiuliza siruhusiwi kuwa na rafik wa kiume? Lakin sa nyingine nakaa chini nasema God ...u know me better” alifunguka Uwoya.

Sababu kubwa iliyodaiwa kumfanya Diamond atembee kimapenzi na Uwoya ni kitendo cha muigizaji huyo kudaiwa kumponda mara kwa mara na alikuwa hampendi Diamond ambaye alikuwa anafikishiwa habari hizo na marafiki zake Irene. Pia Diamond alikuwa anapondwa na washikaji zake kuwa anatamba kutembea na mastaa mbalimbali wa kike lakini hamuwezi Uwoya na hivyo Platinumz kuamua kumuimbisha Uwoya mpaka akaiva.

                                        Irene Uwoya
Like our Facebook page Swahili World Planet for updates about Swahiliwood celebrities, news, gossip, features, reviews, fashion plus hollywood, bollywood, nollywood news and the rest of the world.

No comments:

Post a Comment