Wednesday, June 19, 2013

UZINDUZI WA ZUKU SWAHILI MOVIES ULIVYOKUWA(PHOTOS).

Hivi karibuni chanel ya Zuku Swahili Movies ilizinduliwa jijini Arusha na baadhi ya wadau wa filamu kualikwa. Wamiliki wa kituo hicho kinachopatikana katika king'amuzi cha Zuku wamewataka waandaaji kutosita kupeleka filamu zao huku wakihakikisha kuzalisha filamu zenye ubora unaokubalika na kuzingatia maadili ya mtanzania na kiafrika katika kazi zao. Angalia baadhi ya picha za uzinduzi huo.................


No comments:

Post a Comment