Thursday, June 20, 2013

SASA NI ZAMU YA KING MAJUTO NA CHUCHU HANS.

Filamu mpya ya Lolita imewakutanisha waigizaji Maarufu nchini King Majuto na Chuchu Hans. Chuchu hans ametumia jina la filamu hiyo kama Lolita ambaye anampeleka mchumba nyumbani kwao lakini anapofika Majuto anamfanyia vibweka na vituko vya kila aina mchumba huyo. Katika filamu hiyo pia yupo muigizaji chipukizi anayeitwa Lukey.  Kaa mkao wa kuipokea filamu hiyo kwa kununua kopi original itakapotinga sokoni maana kama yupo king majuto na the beatiful Chuchu Hans basi si ya kukosa.




No comments:

Post a Comment