Wednesday, June 19, 2013

SALMA JABU(NISHA) HANA MPANGO WA KUOLEWA KWASASA.

Baada ya Flora Mvungi kuolewa hivi karibuni watu wamekuwa wakidai Salma Jabu(Nisha) pia yupo mbioni kuolewa. Nisha alikuwa karibu sana kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa katika ndoa ya rafiki yake mkubwa Flora na H.Baba hivyo watu kudhani yeye pia anakaribia kuolewa lakini Swahiliworldplanet ilipomuuliza actress huyo kuhusu issue ya kuolewa hivi karibuni alisema hana mpango wa kuolewa kwasasa hivyo anajiimarisha katika kazi zake za uigizaji kwanza huku filamu yake mpya ya Tikisa ikitarajiwa kuingia sokoni baada ya kila kitu kitakapokamilika.


No comments:

Post a Comment