Pages

Thursday, June 13, 2013

MWANAMUZIKI LANGA AFARIKI DUNIA.

Habari zilizotufikia muda huu ni kuwa Langa Kileo msanii wa Hip Hop Tanzania amefariki dunia leo hii. Inadaiwa msanii huyo alipelekwa hospitali akiwa hajitambui  kwa Malaria kumzidia, Hali iliyopelekea kukimbizwa Hospitali ya Muhimbili jana. Uchunguzi wa chanzo cha kifo chake bado unaendelea. Langa aliwahi kutamba na kikundi cha Wakilisha pamoja na witness na sara(Shaa).Taarifa kamili ya kifo chake itakuja baadaye. R.I.P Langa.


No comments:

Post a Comment