Pages

Saturday, June 1, 2013

MTOTO WA KAJALA AWA MKUBWA, KUFUATA NYAYO ZA MAMA YAKE KATIKA MOVIES AU BABA YAKE P. FUNK KATIKA MUZIKI !

Paula ambaye ni ,mtoto wa actress Kajala Masanja na producer maarufu nchini P. Funk tayari anaonekana amekuwa. Wadau wanajiuliza je mtoto huyu atafuata nyayo za mama yake katika movies au za baba yake katika muzikI? Tayari mtoto wa Chuchu Hans anayeitwa Farihiya anaigiza filamu na mtoto wa Batuli anatia team kwenye movies muda si mrefu but haijajulikana Paula atakuwa upande upi kati ya movies, muziki au kama atakuwa na issue zake nje ya sanaa. Look at her photos below.....

                                                           Paula
                                          With her mother Kajala Masanja
     with her father music producer P. Funk Majani

No comments:

Post a Comment