Pages

Sunday, June 16, 2013

LULU AAMUA KUKOMAA NA KANISANI.

Elizabeth Michael(Lulu) ambaye ni actress maarufu siku hizi anakomaa sana na kanisani katika kumuomba mungu kama watu wengine. Jana kupitia twitter Lulu aliweka picha akitokea kanisani kama unavyoona hapo chini na kuandika "from church". Hatuna cha zaidi ila kumpongeza Lulu kwa kuhudhuria ibada.


No comments:

Post a Comment