Pages

Monday, June 17, 2013

BEHIND THE SCENES OF "MOYO WANGU 2" SWAHILI FILM PRODUCED IN DENMARK.

Baada ya filamu ya kiswahili iliyotengenezwa Denmark "Moyo Wangu" kufanya vizuri, waandaaji wa filamu hiyo VAD Productions ya nchini humo wameamua kutengeneza sehemu ya pili ya filamu hiyo ili kuwakata kiu mashabiki wa filamu za kiswahili nchini humo. Filamu hiyo wapo waigizaji wakuu kama vile Selembe Toko, Ashley Toto, Frank Salum and Ester Msabaha. Look at behind the scenes of Moyo Wangu 2(My Heart) coming soon.........


No comments:

Post a Comment