Pages

Monday, June 24, 2013

BATULI, BABA HAJI, RIYAMA ALLY, BARAFU HIDAYA NJAIDI NDANI YA FILAMU MOJA(PHOTOS OF BEHIND THE SCENES).

Filamu hii ambayo bado jina lake halijawekwa wazi mpaka sasa ni kama Zawadi ya mwezi mtukufu wa Ramadhani kwakuwa maudhui yake yatakuwa ya dini zaidi, yaani dini ya kiislamu. Mastaa wa filamu hii ni Yobnesh Yusuph(Batuli), Haji Adam(Baba Haji), Hidaya Njaidi, Riyama Ally, Thecla Mjata, Patrick aliyetamba na filamu za Kanumba kama mtoto, Swebe na Emiliana Ndimubansi. Kwa ujumla mavazi ya kiislamu yanaonekana kuwapendeza sana hivyo tusubiri filamu yenyewe bila kusahau kununua copy original ili kusapoti wasanii wa Swahiliwood. Look photos below.........



1 comment:

  1. Wooooow mungu atupe uzima nampenda sana batuli.

    ReplyDelete