Pages

Wednesday, June 26, 2013

AMANDA POSHY KUANZA SHOOTING KESHO, ANGALIA PICHA ZAKE MPYA

Muigizaji maarufu nchini Amanda Poshy ametoa picha zake mpya kama ilivyo kawaida kwa mastaa mbalimbali. Kwa upande mwingine filamu mpya ya Lost Future aliyoigiza Amanda itaingia sokoni muda si mrefu. Vile vile akichonga na Swahiliworldplanet muigizaji huyo aliyejaaliwa mvuto alisema kuwa kesho ataingia location kuanza shooting ya filamu mbili ambazo utazijua majina yake hapa hapa SWP muda si mrefu. Angalia picha hizo.....hot or not?


No comments:

Post a Comment