Pages

Thursday, May 23, 2013

KUTANA NA APOLINA SOLANGE MAHUSA ACTRESS ANAYETAMBA KATIKA SWAHILI MOVIES NCHINI DENMARK.

Apolina Solange Mahusa ni mmoja wa actors wanaowakilisha vuzuri filamu za kiswahili huko ulaya akiwa nchini Denmark ambako pamoja na waigizaji wenzake wenye asili ya kiafrika na kizungu wamekuwa wakiigiza katika filamu za kiswahili nchini humo. Apolina actress aliyejaaliwa mvuto ameshaigiza katika filamu kama vile If I New na filamu ya Mistreated Girl ambazo zote zimetumia lugha ya kiswahili na kutengenezwa nchini Denmark. Star huyo ana asili ya Congo lakini alikulia Tanzania na kwasasa anaishi nchini Denmark akiwa anataka kufanya vizuri katika tasnia ya filamu nchini humo. Angalia picha zake.............



No comments:

Post a Comment