Pages

Tuesday, May 14, 2013

KEMMY KUTIKISA SOKONI NA FILAMU YA NGUVU YA IMANI.

Julieth Samson famously known as Kemmy anakuja na filamu ya Nguvu ya Imani akiwa na Simon Mwapagata(Rado), Jackson Kabirigi na Hadija Mohamed. Kemmy ambaye ni mmoja wa actresses wenye vipaji vya hali ya juu Swahiliwood amesema filamu hiyo inaongelea mfumo dume hasa kwa wanaume wa vijijini kuwatesa na kuwafanyisha kazi nyingi wake zao. Mwigizaji huyo amesema kuwa ni kweli ameokoka lakini bado kuokoka hakumzuii kufanya sanaa. Kemmy amecheza filamu nyingine kadhaa na kufanya vizuri kama vile My Life, Hatia na Innocent Case.






No comments:

Post a Comment