Friday, March 8, 2013

RAY, IRINE UWOYA,JB,KING MAJUTO WAALIKWA RWANDA, MASHABIKI WAO WAJIANDAA KUVUNJA RECORD YA CONGO KATIKA MAPOKEZI YAO

Actors wa Tanzania wanazidi kujizolea umaarufu katika nchi mbalimbali za kiafrika na hivyo kudhihirisha kuwa kama wataendelea kupiga kazi na kurekebisha baadhi ya makosa katika filamu za Swahiliwood basi hakuna shaka kuwa Nollywood ipo hatarini miaka michache ijayo.
Habari ni kuwa Tanzanian famous actors Vicent Kigosi(Ray), Irine Uwoya, Jacob Stephen(JB) and famous comedian King Majuto will be in Rwanda any day from now for special invitation and they will have a chance to talk with Rwandan president kwa ajili ya kuinua tasnia ya filamu nchini Rwanda since watu wa Rwanda wanazikubali filamu za Tanzania na wanapata hamasa ili na wao wasonge mbele.. inasemekana ziara hiyo imeratibiwa kiserikali na wananchi wa Rwanda wamejiandaa kufanya mapokezi makubwa kwa wasanii hao ili kuvunja record iliyowekwa walipotembelea Congo mwaka juzi ambapo walipokelewa kishujaa mpaka baadhi ya viongozi wa Tanzania kupigwa na butwaa kuona Tanzanian actors are popular in neighboring countries. Ray alipoulizwa na mtandao wa the superstartz kuhusiana na mwaliko huo kama ni kweli wamealikwa na ziara hiyo imeandaliwa kiserikali alijibu " Unajua wenzetu ni tofauti na sisi wao kila kitu kinaenda kisheria huwezi kufanya jambo mpaka chama kijue na kikishajua ni serekali japo sisi kama sisi tutakutana viongozi mbali mbali wa nchi hiyo kwa sababu nnchi nzima ya rwanda imeshajua na imejiandaa kwa ajili yetu na imeandaa mapokezi makubwa sana wanasema wanataka yavunje yazidi yale ya congo niliyoyafanya nikiwa na swahiba marehemu steven kanumba."

Ray aliongeza " Unajua wenzetu ni tofauti na sisi wao kila kitu kinaenda kisheria huwezi kufanya jambo mpaka chama kijue na kikishajua ni serekali japo sisi kama sisi tutakutana viongozi mbali mbali wa nchi hiyo kwa sababu nnchi nzima ya rwanda imeshajua na imejiandaa kwa ajili yetu na imeandaa mapokezi makubwa sana wanasema wanataka yavunje yazidi yale ya congo niliyoyafanya nikiwa na swahiba marehemu steven kanumba."

                                                    Actress Irine Uwoya
  
                                                        Ray 

 

No comments:

Post a Comment