Pages

Monday, March 4, 2013

DENMARK WAANZA KUTENGENEZA FILAMU KWA KISWAHILI, WAJA NA "IF I KNEW"

Filamu zinazotengenezwa kwa kutumia lugha ya kiswahili zinaanza kushika kasi katika nchi mbalimbali ikiwemo Denmark ambayo tayari inasemekana kuwa na mashabiki wengi wa filamu za kitanzania. Exclusively swahiliworldplanet inakujuza hapa kuwa kampuni mbili za nchini Denmark VAD Film Production na Oscar Films  wanatengeneza filamu mpya inayoitwa "IF I KNEW" na huo ni mwanzo tu moto unakuja zaidi kwa filamu za kiswahili kutikisa nchi mbalimbali. Waigizaji wa filamu hiyo wanatoka Kenya, Tanzania, Congo na Denmark wahusika wakuu wakiwa ni Justine Zawadi, Frank Salum, Eliane Amelberge Kisonga na Tantine Musa. The film's story is about an African couple living in Danmark with three Children and all of them being Girls .when the couple came to Denmark  had a very good relationship but the wife ( Eliane ) starts making friends and in those Friends there are good and bad(Tatu)who....Filamu hiyo imetumia lugha ya kiswahili lakini itawekewa subttle ya kiingereza na pia itarushwa katika Tv huko Denmark. Angalia picha chini wakiwa location..........

Eliane one of the lead actors in the film

Cover la filamu hiyo

 Wakiwa location na vifaa vya kisasa





No comments:

Post a Comment