Pages

Friday, February 8, 2013

WEMA SEPETU APATA BUZI JIPYA

Wema  Sepetu recently posted a photo of hers on BBM akiwa na mwanaume romantically aliyedai kuwa ni mume wake. The photo showed the two kissing each other ingawa pic hiyo iliwaonyesha kuanzia kidevuni mpaka kiunoni tu. After she posted the photo the actress and former Miss Tanzania wrote "Miss you mume wangu, wewe ndio kila kitu katika maisha yangu, watasema sana lakini mambo yetu yanatuendea vizuri.”

                      Picha ya Wema na mwanaume huyo



No comments:

Post a Comment