Friday, February 8, 2013

PAH ONE KUTOKA TANZANIA WAPOKELEWA KISHUJAA NCHINI CONGO

Kundi maarufu la muziki kutoka Tanzania PAH ONE limepokelewa kwa bashasha nyingi na mashabiki wake nchini Congo, kundi hilo lipo nchini humo kwa ajili ya kufanya show. Mashabiki wamejitokeza kwa wingi kiasi cha kuwekwa ulinzi wa askari wenye silaha ili  kuimarisha ulinzi. jionee..................













No comments:

Post a Comment