Hakuna shaka kuwa directors wengi katika films za kitanzania hawajasomea kazi hiyo wanafanya kwa uzoefu tu au kwa kuwa wamemuona fulani ameongoza filamu basi nao siku mbili tatu tayari wamekuwa waongozaji. but hali inaanza kubadilika taratibu kwenye industry kwa baadhi ya watu kwenda kusomea taaluma kuhusu filamu. Nimebahatika kukutana na Director mpya katika films za kitanzania Julius Mpinge ambaye amesomea films chuo kikuu cha Dodoma(university of Dodoma) na kumaliza mwaka jana. Muongozaji huyu amepania kuleta mageuzi katika uongozaji wa films Swahiliwood, pia ni film editor mzuri sana. Ameshafanya kazi sehemu mbalimbali kama vile Kikoi Media,Tanga Tv, Kifimbo fm, NMB,. wakati nilipomuona akiongoza tangazo moja mwaka jana ilibidi nimuambie "our film industry needs people like you". So unataka kujua maana ya kila shot katika film na namna ya kuichukua? unataka kumchezesha muigizaji auvae uhusika bila kujali ustaa wake au uchanga wake katika fani?, unataka films yako iwe nzuri kutoka mwanzoni mpaka editing?. Here is the new director but professional who knows how to direct and control actors moves, camera angles, namna ya kumsimamia na kushirikiana na editor kwa ajili ya kutoa kazi nzuri.
Nilivutiwa na elimu yake ya films na kipaji chake hivyo ilibidi nimuombe ili kuweka mawasiliano yake hapa ili atakayemhitaji kikazi amtafute.
mpingej@yahoo.com
+255718890955
Here are the photos of the new director
anajua kuigiza pia licha ya kuongoza films
No comments:
Post a Comment