model wa kimataifa kutoka S.Africa Andiswa Manxiwa ambaye pia ameshafanya model scouting katika nchi mbalimbali Afrika katika shindano la kutafuta models "Nokia Face of Africa" pia ni show producer and international fashion choreographer. amewataja wanamitindo wawili wa Tanzania kuwa wana kila sifa ya kuwa next international supermodels, models hao ni Daxx ambaye kwa sasa yupo S.Africa chini ya model agency "Ice Model" akifanya modelling huko. na mwingine ni Alexia Williams ambaye ni Miss Tanzania namba 3 mwaka 2011.
Katika interview na swahiliworldplanet wiki iliyopita andiswa aliulizwa hivi "Which Tanzanian two models do you think they have everything to be next international supermodels according to your experience being with them at Swahili fashion week? Andiswa replied "Daxx(Ali Hassan) is amazing, he recently moved
to S.Africa and is taking over. Alexia(Alexia Williams) is also one of
the models who really have potential but is doing nothing about it."
Swahiliworldplanet ilipomuuliza Alexia kuwa ana maoni gani kwa kutajwa na mwanamitindo huyo mwenye experince katika mitindo zaidi ya miaka 10 sasa baada ya kutokea New York fashion week kwa mara ya kwanza 2002, Alexia alijibu "Ooh real ! thanx, unajua mimi chuo ndo tatizo sana kwangu but mwaka huu ntakuwa more serious..!"
Daxx alipoulizwa kuhusu alichokisema Andiswa alijibu " Ooooh yeaaa I didn't see that interview men!..kaongea ukweli
mtupu!..Alexia is doing great and she has that wat we call Model look,bt
I don't knw anafikiria nini kuhusu her career...bt I will try something
about her..."
To read the interview with Andiswa follow this link www.swahiliworldplanet.blogspot.com
Alexia Williams
No comments:
Post a Comment