Tanzanian actress Blandina Chagula(Johari) is said to be pregnant, chanzo kilicho karibu na Johari kilisema kuwa Johari ana kila dalili za ujauzito lakini hataki kuweka wazi hata kwa rafiki zake. chanzo hicho kilipozungumza na swahiliworldplanet kilisema kuwa inawezekana Johari anaogopa kuweka wazi ujauzito wake na mpenzi wake aliyempa ujauzito huo kutokana na baadhi ya waigizaji wa Bongo movie kuchukuliana mabwana hivyo akimtaja atakuwa si wake tena. Hata hivyo Johari hakupatikana kuweka wazi kuhusu uvumi wa pregnancy yake. Baadhi ya watu wanasema kuwa inawezekana kweli Johari ni mjamzito maana tangu habari hizo zianze chini chini wiki iliyopita hajakanusha au kukubali kama ana kibendi au la!. let's wait n see......
No comments:
Post a Comment