Wednesday, February 13, 2013

HEMED ASEMA MIMI NI HANDSOME NA MZURI PIA

Msanii wa filamu na muziki nchini Tanzania Hemed Suleiman PHD amesema ana amini kuwa yeye ndiye msanii wa kwanza handsome kuliko wote ndani ya Bongo, akipiga stori na thesuperstarstz Hemed ameweka wazi kuwa anajiamini katika uchezaji, anajiamini katika uzuri na anajiamini katika uvaaji pia .

Hemed ameendelea kusema kuwa anamkubali sana msanii kutoka marekani usher raymond na ndio sababu hata mashabiki wake humuita  Usher Raymond wa Bongo.
"Kaka unajua hapa Bongo ukianzia katika movies na muziki huwezi kumpata kama mimi na ndio maana nikiingia sehemu unajua kabisa nimefika maana watu wote hugeuka kunitizama na hii inatokana na u-handsome na jinsi ninavyonyuka pamba". alisema Hemed

                                                      credit:thesuperstar

No comments:

Post a Comment