Tuesday, January 15, 2013

WEMA SEPETU AMFUNIKA IRINE UWOYA

Mastaa wa filamu za kibongo Wema Sepetu na Irine Uwoya mwishoni mwa wiki iliyopita walikuwa wilayani kondoa kijiji cha kwadelo kwa ajili ya kuzindua mradi wa kilimo kwanza. lakini tofauti na lengo la safari hiyo mastaa hao walionekana kama wamekamiana hasa katika suala la kunyuka viwalo na kuuuza sura mbele za wanakijiji na kamera pia. Hata hivyo Wema alionekana kumrudisha Uwoya nyuma kwa asilimia chache kimuonekano kama star hasa katika mavazi yao na muonekano kwa ujumla....hembu wapige jicho na sema chochote!

No comments:

Post a Comment