Pages

Friday, January 18, 2013

TAMASHA KUBWA LA "USIKU WA MASTAA WA FILAMU TANZANIA" LINAKUJA

Tamasha kubwa na la kihistoria lililopewa jina la "USIKU WA MASTAA WA FILAMU TANZANIA" linakuja. Litafanyika Dar live tarehe 26 mwezi huu na kiingilio kikiwa ni sh. 7000/= kwa viti vya kawaida na sh.1500 kwa upande wa viti maalum.mastaa kibao watakutana na mashabiki wao na kubadilishana mawazo na pia burudani kedekede zitakuwepo. so it is a must not to miss just andaa pochi yako.......

No comments:

Post a Comment