Wednesday, January 2, 2013

SAJUKI AFARIKI DUNIA

Actor Juma Kilowoko (SAJUKI)amefariki dunia leo alfajiri katika hospitali ya Taifa Muhimbili. Sajuki alikuwa anasumbuliwa na tatizo la upungufu wa damu Alilazwa hapo kwa wiki mbili ambapo alikua anasubiri kupata urahisi wa kusafiri kurudi India kwenye matibabu ambayo alipangiwa kurudi tena december 2012, R.I.P SAJUKI

No comments:

Post a Comment