Thursday, January 17, 2013

MUSICIAN BOB JUNIOR APATA MTOTO WA KIUME

Latest news from Tanzanian showbiz ni kwamba mwanamuziki wa kizazi kipya Bob Junior yeye na mkewe ambaye walifunga ndoa kimya kimya wamebarikiwa kupata mtoto wa kiume. Mtoto mwenyewe ndiyo huyu hapa.Hongera sana kwa wanandoa hawa....
The newly born

No comments:

Post a Comment