Wednesday, October 22, 2014

Sabby Angel Aachia Picha Za Kimahaba Akiwa Na Bob Junior.


Baada ya Sabby Angel na Bob Junior kudaiwa ni wapenzi sasa Sabby ameamua kuachia picha zao za kimahaba kama inavyoonekana akiwa na Bob Junior ambaye ndoa ilimshinda bila sababu kuwekwa wazi.....!


Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment