Wednesday, September 17, 2014

Imeniuma Sana Kutohudhuria Harusi Ya Lucy Komba: Jackline Wolper

Wolper
Jackline Wolper ambaye alishawishiwa na kuibuliwa na Lucy Komba katika tasnia ya filamu nchini kiasi cha kuwa star mkubwa sasa amesema kuwa kitendo cha kutohudhuria harusi ya Lucy Komba kimemuuma sana.
Kupitia mtandao mmoja wa kijamii leo Wolper ameandika.....

"Tukio lililoniuma Nikutokuudhuria katika furaha ya milele kwa my dada kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu lakini wote ni binadamu hatuwezi kupanga mpaka Mungu apange ..nafurahia furaha yako my dada ...Mungu akulindie ndoa yako love you saana"

Lucy Komba na mumewe katika harusi yao
Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment