![]() |
| Batuli |
Baada ya kurushiwa habari hizo ilibidi kumtafuta Batuli ambaye anatamba katika filamu, Batuli alikubali kuwa hayuko kwenye maelewano mazuri na Steve huku akidai Steve ndiye chanzo cha bifu aliloliita la kijinga.
"Ni kweli mimi na Steve Nyerere hatuna maelewano mazuri kwa sasa kiisa ni cha kijinga sana, Steve alinipigia simu akinipa taarifa ya kuwa kanipanga kwenye movie yake ambayo kawashirikisha Bongo movie wengi sana, ambapo alidai ya kuwa hata malipo atayafanya baada ya kuuza movie hiyo nikakubali kwa sababu kwanza ni msanii mwenzangu, pili movie ndio kazi yangu, basi baada ya siku kadhaa Steve akanipigia simu akaniambia niende nika-shoot nakumbuka ilikuwa mchana nikashangaa sana kwa sababu kabla mtu haja-shoot huwa kuna maandalizi ambayo mhusika anatakiwa kuyafanya ambayo ni kwanza aijue story ya movie anayoenda kuicheza, baada ya kuijua story anaenda kuandaa nguo, viatu na vinginevyo vinavyotakiwa kutokana na story au script inavyosema"
Star huyo anayesifika kwa urembo aliendelea kwa kusema " Nikamuuliza Steve mbona unanikurupusha nije ku-shoot nitakuja vipi wakati sijui movie inataka nini? au na-shoot vipi? Uhalisia gani? na kwa taratibu za movie ni lazima mwenye movie awaite awape script kila mhusika kisha baada ya kusoma mkubaliane malipo and msanii anaenda kujiandaa na kazi aliyopewa, Baada ya kumuuliza nakumbuka Steve aliwaka kwenye simu na kuniambia basi basi kisha akakata simu kiukweli nilikasirika"
![]() |
| Steve Nyrere |
Batuli alimalizia kwa kusema " ninachoweza kusema mwenyekiti wa Bongo movie Steve Nyerere arudi shule akajifunze utawala, hakuna anayetaka kuburuzwa, watu huongea kwa kuelewana na sio kununiana kama wake wenza cha msingi angeanza kujipatanisha yeye na alionuniana nao kwanza halafu ndio apatanishe wengine, Mungu hampendi mtu mnafiki, Steve Nyerere hajui nini maana ya kuwa kiongozi"
Hata hivyo mtandao huu ulipojaribu kumtafuta Steve juhudi hazikuzaa matunda mpaka tunaadika habari hii
Batuli


Huyo Steve Nyerere inaonekana anajiona star zaidi ya wengine mashabiki tunaangalia uwezo wa mtu sio jina lake hongera dada Batulo kwa kukutaa kupelekeshwa kwanza sanaa yenyewe hajui kazi kuomba omba tu na kuwakiwadia wasanii wa kike kwa vigogo sikupendi wewe mwenyekiti ngono wa bongo movie batuli achana nae mpuuzi huyo,, Makaila wa kimara
ReplyDeleteBig up BATULI huyo STEVE NYERERE kazoea kuwauza kina UWOYA na WOLPER anadhani kila mtu anapenda ufuska mtupe kwenye jalala ananuka dhambi mbwa mfupi huyo hivi hao bongo movie walimchaguaje kiongozi bogus kama STEVE NYERERE hana akili huyu mbilikimo umatonya ndio unaomuweka mjini hana kingine kazi kutwa kucha kujipendekeza kwa viongozi na wafanya biashara mbalimbali ipo siku watamvisha vitenge wamwite wife ngoja utaona
ReplyDeleteNikikuita Mr Steve Nyerere nitakuwa namkosea Baba wa Taifa letu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. I feel kukuita majina yafuatayo: Nguruwe dini zote zinamharamisha : Mbwa ila hata hili la mnyama mbwa naliona lina thamani cos anatulinda sijui nikuite nani. Hivi hii nchi kwanini hawakupigi marufuku kutumia jina la mwasisi wetu wakati una tabia mbaya inayoidhalilisha jina Nyerere. Una lipi kubwa mpaka uwadharau wenzako?!? Una mapembe?!? Au ukiingia msalani unatoa almasi?!? In your head kuna kinyesi eeeeh. Shamw on you kuna kipindi Jaqline Wolper alikuwa analalamika haya haya umelelewa wapi wewe kitimoto?!? Kwanza nakaa mtaa mmoja na wewe hapa kinondoni karibu na kwa Ben Kinyaiya una maringo kama una mali. I need to tell you something wewe shetani hata iweje huwezi kuwa kama Marehemu Steven Kanumba sikutegemea kama uliokata nao kuni unawaona kinyesi. Wakati inaumwa hawa wasanii wa kike walikuwa ndio liwazo lako wanaacha kazi zao wanashinda pale kwako kwenye joto kama tanuri. Nguruwe hufai kabisa wewe Steve Nyerere na nitakuchana live kitaani sijakupenda kabisa .
ReplyDeleteUlaaniwe steve nyerere
ReplyDeleteA fool thinks himself to be wise my little sister Nyerere ni mpumbavu. I advice you my little sister stay away from foolish people or man like Nyerere hakuna cha kujifunza kutoka kwake or kwao
ReplyDeleteWote mpo upande mmoja kwanini? And Nyerere change your altitude kama kweli upo hivyo
ReplyDelete