Wellu Sengo ambaye ni actress wa Swahiliwood anayekuja juu kwa kasi amesema kuwa Mtitu Game ndiye aliyemtambulisha katika tasnia ya filamu kwa kumpa nafasi ya scenes 3 katika filamu ya My Child ambayo imetoka mwaka huu na baada ya kufanya vizuri Mtitu ambaye amewatoa mastaa wengi wa filamu aliamua kumpa scenes 9 badala ya 3 na baada ya kufany vizuri akapewa nafasi ya mhusika mkuu katika filamu ya Matilda iliyomtambulisha mabyo pia ilitoka mwanzoni mwa mwaka huu akiwa na Hemedy na Salma Jabu Nisha. Akizungumza na
Swahiliworldplanet Wellu alisema "it is a passion tangu nikiwa mdogo na aliyenitambulisha kwenye tasnia alikuwa ni Mtitu Game, aliona kipaji changu na moja kwa moja nikaenda kambini, alinijaribu na scenes 3 nilipoweza akafuta na kunipa scenes 9 katika movie inaitwa My Child, after that ndiyo nikawa main character katika filamu ya Matilda ambayo iliyonitambulisha vizuri"
Wellu ambaye tayari anatajwa kama mmoja wa mastaa wa kike wanaokuja kwa kasi na wenye mvuto tayari amecheza filamu kadhaa na mastaa wenzake kama vile Twisted akiwa na Vicent Kigosi Ray na nyinginezo, huku akiwa tayari ameshuti filamu kadhaa zinazotarajiwa kuingia sokoni.
Wellu Sengo
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood news.
Kipaji kipi Welu hicho cha wizi? Bongi movie tunakuogopa kwa uchori wako
ReplyDeletewe anonym hapo juu inaonyesha Wellu anakunyima usingizi kwenye fani, fanya yako acha majungu shoga
ReplyDeleteI love Wellu, she is hottt
ReplyDelete