Saturday, September 21, 2013

HAPPINESS WATIMANYWA KUTOKA DODOMA ATWAA TAJI MISS TANZANIA 2013/2014.

Mrembo Happiness Watimanywa kutoka Dodoma ameshinda taji la Miss Tanzania 2013/2014 baada ya kuwabwaga warembo wenzake 29. Kwa ushindi huo Happiness amejishindia zawadi ya gari aina ya IST na Tsh. millioni 8. Nafasi ya pili imechukuliwa na Latifa Mohamed na nafasi ya tatu kuchukuliwa na Clara Bayo.

 kutoka kushoto ni Latifa Mohamed aliyeshika nafasi ya pili, katikati ni Happiness Watimanywa aliyetwaa taji na mshindi wa tatu ni Clara Bayo
the top 5

                             The    top 10

images by: Michuzi Blog



No comments:

Post a Comment